·
Tuzo za Kimataifa za Amani na Usalama ambazo zinaandaliwa kati ya Ushirikiano wa International Peace and Security Summits and Awards (IPSSA) na The African Leadership Initiatives for Impact (ALII, kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania, zitaadhimishwa tarehe 6 Juni, 2025, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) kilichopo Dar es Salaam. Sherche hii ya ufunguzi ya IPSA, itakayofanyika kuanzia saa 10:00 jioni, itaheshimu usalama duniani.